Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini.
Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...