wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wafanyakazi wanaonyimwa fao lao sio wanyonge?

    Ninaomba tafsiri ya wanyonge kwa nchi hii tafadhali? Maana ninapata shida kusikia Boda Boda ni mnyonge, na nina ushahidi hawa vijana wa Boda Boda, wanaingiza kipato zaidi ya shilingi laki sita kwa mwezi. Mfanyakazi mwenye mshahara wa laki tatu hadi laki tano, mkataba wake unaisha, ananyimwa...
  2. T

    Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  3. T

    Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
  4. A

    Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
  5. Z

    Kati ya wafanyabishara na wafanyakazi nani mlipakodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu?

    Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana. Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi aliyejiriwa nani mlipa kodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu au mlalamikaji na mpiga makelele sana...
  6. N

    Msela na Mbabe TAMISEMI walivyoichonganisha awamu ya tano na wananchi na wafanyakazi

    Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya Tano na Serikali na wananchi. Ona Msela huyu alivyoharibu kabisa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka...
  7. T

    Ili kuipa hadhi Elimu, Wakuu wa Idara na Taasisi wawe na elimu kuzidi wafanyakazi walio chini yao.

    Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi. Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe ukuu wa idara. Mfano: 1- Walimu Wakuu wa shule za musingi wawe na elimu ya degree, wenye degree...
  8. Ombi langu juu ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi )

    Wakuu poleni na matanga ikiwa bado tunaendelea kuomboleza msiba mzito wa taifa, kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa Mh. John Pombe Magufuli ambaye Mungu kamwita. Naomba sasa nigusie jambo kuhusiana na Mei Mosi ijayo. Ama hakika watumishi wa umma tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu bila ya...
  9. Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
  10. C

    Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  11. J

    Dkt. Faustine Ndugulile afungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Shirika la Nyumba la Taifa, jijini Dar es salaam. #Siku100ZaUtekelezaji.
  12. Nahitaji msaada wa kupata mwongozo wa ufanyikaji wa vikao vya baraza la wafanyakazi la Halmashauri

    Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka 5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
  13. Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
  14. Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  15. Maoni yangu: Kwanini wafanyakazi hawajaboreshewa maslahi yao awamu hii

    Haya ni maoni yangu binafsi baada ya kutafakari kwa kina, kwanza siamini kwamba suala hili la kukaa miaka 7 bila kupandishwa madaraja na miaka 6 bila nyongeza ya kila mwaka kuwa ni suala la bahati mbaya! HAPANA! Upo msemo kuwa in politics nothing happen by accident! Sasa twende sawa hapa, kama...
  16. Nyamongo: Wafanyakazi wa Kampuni ya Kiribo Ltd wadai mishahara ya miezi 4

    Sisi ni wafanyakazi wa Kiribo Ltd Nyamongo tumezurumiwa mishahara yetu ya miezi minne tuko wafanyakazi 250 na tunadai takiribani milioni miatano na NSSF takiribani bilioni moja.
  17. Namibia yafunga huduma za Shirika lake la ndege, wafanyakazi 600 kukosa ajira

    Shirika la Ndege la Namibia, Air Namibia limetangaza kusitisha shughuli zote za usafirishaji na kurudisha ndege zote zilizokuwa zikifanya safari, ikiwataka abiria wote waliokuwa wamekata tiketi kuomba kurudishiwa fedha zao. Bunge la Namibia limetoa kibali cha kufunga shirika hilo, huku zaidi ya...
  18. Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

    Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo...
  19. M

    Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  20. Wafanyakazi wengi wa Serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi

    Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi. Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba. Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…