wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  2. W

    Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

    Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
  3. Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

    Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo. Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao. Tutavaa barakoa hadi lini? Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii. Ni jambo la kusikitisha...
  4. Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalam wafanyao kazi

    Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
  5. Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  6. B

    Kweli nimeamini CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
  7. K

    Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

    Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician. Sifa za waombaji; 1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
  8. Labda nifukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe

    Nikiwa kati kati ya interview nzito, Mara ghafla simu ya HR ikaita, akaipokea huku akisikiliza kwa makini anachokiongea mpiga simu, akamjibu mpiga simu kuwa "labda niwafukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe" hiyo kauli mpaka leo haijafutika kwenye akili yangu tangu niisikie akijibiwa...
  9. F

    Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  10. F

    Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  11. K

    Hongera CMA kwa kuendesha kesi na Migogoro Makazini kwa weledi

    Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC. Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
  12. Riziki ya Bosi Upitia Kwa Wafanyakazi Wake

    Habari zenu wakuu, mnaendeleaje na hali Jamiiforums imekua nikisima cha maarifa mbalimbali kutoka kwa members wake wenye uzoefu katika nyanja kadha wa kadha. Ukitaka ILIMU mbalimbali utapata Biashara, busara, Ndoa,Ulozi na hata kula tunda kimasihara. Leo nimesikia hili jambo mahala, kwangu...
  13. Wafanyakazi wa Amazon kurejea ofisini Januari 2022

    Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu. Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
  14. G

    Wafanyakazi wa AKM Glitters tunaomba tulipwe haki zetu. Wizara husika mtusaidie

    Kampuni ya Akm Glitters tunaomba mtulipe haki zetu wafanyakazi wenu. Yapata miezi mi 5 na wengine miezi 8 hatuja lipwa mishahara yetu. Tume jaribu mara kwa mara kuomba huongozi taarifa juu ya swala hili ila huongozi upo kimya. Baadhi ya wakuu wa kampun kutoa lugha za kajeri na dharau. Baadhi...
  15. Dhambi ya Ubaguzi: Wafanyakazi the Guardian walalamika Wahindi kununuliana magari huku wafanyakazi wakilazimishwa kuwa vibarua

    WAFANYAKAZI wa The Guardian ambao baadhi hawajalipwa mshahara wa mwezi wa tano kutokana na matatizo ya kibiashara wameshangazwa na hatua ya meneja mkuu, bwana Srinivas Chintaluri kumnunulia gari ndugu yake Bw Balaji Balasubramaniyan ambaye ni Mkurugenzi wa Teknohama aina ya Toyota Sienta lenye...
  16. S

    Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  17. B

    Mishahara ya wafanyakazi na watumishi iendane na kiwango cha elimu, ugumu wa kazi au kiwango cha kazi anachofanya mhusika

    Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada. Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
  18. J

    Posta yataka vyama vya wafanyakazi kuhimiza wafanyakazi kutimiza wajibu wao

    Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza wajibu wao katika utekelezaji wa malengo ya Shirika. Wito huo umetolewa tarehe 17 Julai, 2021 alipokuwa...
  19. Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
  20. Msaada: Makato ya NSSF kwa wafanyakazi wenye basic salary ya Tshs. 300,000

    Habari, Naomba kujuzwa kwa anaejua, je kiasi gani kwa mwenye basic salary 300,000 anakatwa na NSSF?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…