wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Sumbawanga tunadhulumiwa na Katibu wa CCM Mufindi

    Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
  2. JamiiForums Tanzania Car4Sale Wafanyabiashara wadogo nimewaletea mkombozi wenu hapa

    Bei/Price TSH 14.7M Call +255 747 999 927 SUZUKI CARRY Year: 2006 Engine: 650Cc LOW MILEAGE Transmission: MANUAL Clean Interior In Good Condition Exchange Possible Fuel Efficient Cheap To Maintain Easy To Drive In Tight Streets Reliable For Small-Scale Business Deliveries Cargo Capacity...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea mje kuajiriwa tu, stress za biashara kichwa chaweza lipuka

    Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba, Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
  4. JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wamekubali Je kuna nini tena kilichobaki?

    Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe. Hakika Mama anazidi kutufikia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wenyewe ndiyo hawa walanguzi wa nchi basi JPM alikuwa sahihi kutwaa pesa zao kibabe zikasaidie wananchi

    Kikao cha juzi cha walanguzi wa nchi kimetuthibitishia kitu kimoja. Sasa hivi tuna mtu aliyetayari kuuza Ikulu yetu, wakati hapo nyuma tulikuwa na Rais aliyeamua kutwaa pesa za wezi na walanguzi kwa ajili ya maslahi ya wananchi. Hawa Walanguzi wanatoa mabilioni ili wapate nini, ili walipwe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole

    Tujiulize ni kwanini wafanyabiashara wanatumia nguvu kumpinga Polepole. Je wameona nini zaidi ya makada wengine, Je wanaogopa nini? Ukweli ni kwamba wanamjibu Polepole kwasababu wenyewe kwa sasa ndiyo wenye chama kuanzia kutoa pesa na kufanya maamuzi. wagombea sasa ni vibaraka wao tu. Hivi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  11. JamiiForums Tanzania Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya Wakanusha Kunyanyaswa Tanzania

    Katika mazingira ambako mjadala unaendelea kuhusu masharti mapya yanayowahusu wafanyabiashara wa kigeni nchini Tanzania, baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kenya wameeleza kuwa wanaendelea na shughuli zao bila bugudha wala usumbufu kutoka kwa mamlaka husika. Mmoja wa wafanyabiashara hao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara Busega walalamikia kuchangishwa kwa shuruti mchango wa mwenge

    Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha kupitia maelekezo kutoka kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya bila mashauriano wala ridhaa yao. Wakizungumza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara hizi zimezuiwa kufanywa na wafanyabiashara wa kigeni

    Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha 14A(2) Cha Sheria ya Leseni za Biashara yaani Business Licencing (Prohibition of Business...
  16. JamiiForums Tanzania Vibanda vya Wafanyabiashara wadogo vyabomolewa Stendi ya Kawe (kwa Mwamposa) - Je, kutakuwa na ukarabati au ni ubabe wa mamlaka tu?

    Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha mazingira ya stendi au ni kusimamia kwa kanuni za eneo tu? Natumaini sana hatimaye maboresho yatafanywa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TRA imetangaza wafanyabiashara wanaofanyia mtandaoni kujisajili biashara zao? Huu ni uonevu

    Sasa najiuliza maswali haya 1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena? 2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini? 3.Naponunua bando bado wanakata kodi 4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni Maalum kwa Wafanyabiashara wa sasa au wanaotarajia kufanya biashara siku za usoni

    Wakuu Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja) 1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara. 2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania. 3. Leseni ya Biashara –...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa viongozi wa wWafanyabiashara ndogondogo makundi yote

    Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote. Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…