wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mwenge waliopisha ujenzi wa Stendi wadai wametupwa na Manispaa ya Kinondoni

    Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia. Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

    Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M... Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  5. JamiiForums Tanzania IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo. Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ya bandari yakiendelea, TRA wamepoa, wafanyabiashara sasa tunanyanyaswa na zima moto

    Huo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara. Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Tanzania na DP World: Kuongeza Ufanisi, Ajira, na Kuvutia Wafanyabiashara

    Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni: 1. Kupunguza muda wa ushushaji wa makontena kutoka siku 4.5 hadi siku 2: Kabla ya mageuzi hayo, mchakato wa ushushaji wa makontena...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano ule mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo na hiki kinachoendelea sasa hivi?

    Sabato NJEMA Wakuu! Ufanisi ni mdogo, faida ni hafifu. Mtaji ni Duni, Muda unaopotezwa ni mwingi Hali inayozorotesha uchumi wa wafanyabiashara na serikali Kwa ujumla. Hicho ndicho kinafanya kuwe na haja ya kuleta Wawekezaji katika Bandari yetu. Uwezo wetu ni mdogo, uwezo wa kinidhamu na...
  10. JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

    Wafanyabiashara wa mbogamboga Soko la Ilala wamelia kupata hasara baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo yao kutoka Gairo mkoani Morogoro kukamatwa nje ya soko hilo. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao, Thomas Hezron amesema gari hiyo ilikamatwa na mawakala wa vipimo kwa mazao ya shamba mkoa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

    Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu. Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania wazuiwa kutoa mahindi nje ya Zambia, Wafunga mpaka wa Tunduma

    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mahindi kutoka Mikoa mbalimbali wamefunga mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma mkoani Songwe kwa zaidi ya masaa mawili, kwa kuegesha magari yao, wakishinikiza serikali ya Tanzania kukaa meza moja na serikali ya Zambia, ili iwapatiwe mahindi yao zaidi ya tani...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
  16. JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo sakata la mgomo wafanyabiashara Kariakoo, Katiba Mpya

    Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Mei 21, 2023 imeingiza mguu katika sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo huku ikiitaka Serikali kutafuta kiini cha tatizo na kukitafutia ufumbuzi. Kamati hiyo imetoa maelekezo hayo katika kikao chake...
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi. Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo. Baadhi ya Malalamiko yao ni 1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nani kawakimbiza wafanyabiashara wa nchi jirani kariakoo? TRA au wafanyabiashara wenyewe wa kariakoo kwa ulaghai?

    Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji. Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua kariakoo yao. TRA hawawezi kuhangaika na aliyelipa Kodi halali, wanashughulika na wakwepa Kodi...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo

    Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…