wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Ngara Watembelea Bungeni, Wakutana na Jafo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA. 04/09/2024, BUNGENI DODOMA Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
  2. JamiiForums Tanzania Pauline Gekul ahoji uwiano wa adhabu kwa wafanyabiashara kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya ushindani 2024

    Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika. Muswada huo...
  3. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Mufindi wanatupuuza Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga, Rais Samia tusaidie

    Sisi wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga tunaomba kufikisha kero yetu kwa Mamlaka za Juu akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Fedha na Rais Samia na kero hiyo ni kupuuzwa kwa madai yetu kunakofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Kwa takriban...
  5. JamiiForums Tanzania Mafinga: Mgomo wa Wafanyabiashara waingia siku ya 4, RC Serukamba asema yeye hana majibu waulizwe waliogoma

    Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
  6. JamiiForums Tanzania Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mjadala: Benki nzuri kwa mikopo ya wafanyabiashara (15m-500m)

    HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua Twitter (sasa X), Mohammed Dewji MO alikopa benki ya First Rand Afrika kusini. Sasa Kama Elon Musk...
  9. JamiiForums Tanzania Nguvu ya umoja ulivyowainua wafanyabiashara wa China, nanenane kila siku

    Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma, mwalimu wa Kiingereza mwenye maono makubwa. Aliamini kuwa mtandao ungeweza kuwa mlinganishaji...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

    Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wafanyabiashara wagoma kupinga kiwango cha ushuru na mfumo wa ukusanyaji ushuru

    Wafanyabiashara katika jiji la Kampala wako kwenye mgomo wakipinga ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoingizwa na mfumo wa ukusanyaji ushuru, Mfumo wa Elektroniki wa Kutoa Risiti na Ankara (EFRIS), pamoja na malalamiko mengine. Hata hivyo, kuna mkanganyiko miongoni mwa wafanyabiashara, na baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Moshi Wagoma

    Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki. EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
  13. JamiiForums Tanzania TPSF: TRA inalalamikiwa kufungia akaunti, kuchukua fedha za wafanyabiashara na kufungia Mashine za EFD

    UCHUMI: Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Ali Amour amesema baadhi ya changamoto walizokutana nazo Wafanyabiashara kwa mwaka 2022/2023 ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufungia Akaunti za Wafanyabiashara wengi. Akizungumza mbele ya Rais Samia Suluhu kupitia Mkutano wa Baraza la Biashara...
  14. JamiiForums Tanzania Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara wa Mtwara-Mikindani, wapewa mafunzo ya utunzaji fedha

    Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  17. JamiiForums Tanzania Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila. Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  19. JamiiForums Tanzania Byabato, Nape waibukia soko la Kashai usiku, wazungumza na wafanyabiashara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi wafanyabiashara wenzangu, mliwezaje kudeal na mpinzani wako ambaye kakuzidi kila kitu!

    Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka hapa jijini Dar es Salaam. Sio mgeni katika kufanya biashara ila naweza sema ni mgeni katika kufanya biashara ya kwangu. Kwa sababu hapo awalii nilikuwa nafanya biashara za watu tuu. Na sikujua kama biashara zina changamoto hivi hasa ukiwa wewe ndio mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…