wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

    Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana. Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
  2. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada msitulazimishe tuwaoe

    Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri umewatupa mkono tuacheni na sisi tule bata kama nyie. Kututegesha tuwape mimba ndio zenu mimba sio...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

    Wakuu, Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele. Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar baadh wanafurah sana wakiwaona "rent boys" kwenye shughul zao. Wanahakikisha wanapewa airtime

    Na hii airtime wanayopata Mara nyingi sio katika kusheheresha shughuli zao bali kudharalilisha uanaume. Ila siwezi walaumu hawa wadada maana ni watu wa mihemuko na pia hawa vijana hajalazimishwa na mtu yoyote wawe mlenda.
  6. To yeye

    JamiiForums Tanzania Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  7. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu kanunua gari kali kwa biashara ya kuunganisha wachumba hewa instagram. Wadada wanalipia hela instagram ili watafutiwe wachumba wenye hela

    Wabongo ni Watu wanaojua sana kucheza na fursa. Wamegundua wanawake wengi sana wanatafuta wachumba wa kuwaoa. Hivyo wajanja wameanzisha page instagram za kuunganishiwa mwenza kwa malipo kiasi kazaa. Na page hizo pia zinakuwa zinatoa ushauri wa mambo ya mahusiano ili kuvutia followers wajae...
  9. Inside10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda ku-date na wadada wa elf 2003 kuliko mishangazi

    Habarini, Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa. Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

    Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/**** Nawarudisha nyuma Kidogo Tuna sababu za kuilinda nchi yetu, Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dadaz, Ni kitu gani so unhinged umewahi fanya kwa ajiri ya mapenzi?

    Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :) kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi wetu (mimi nikiwemo) embarrassing lol!🤣 lakini this is not a judgment zone, WE LISTEN & WE DON'T...
  14. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  16. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, legezeni macho ili kuimarisha uhusiano

    Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu. Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho. Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza. Kazi kwenu.
  17. Baba Kisarii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye changamoto ya usikivu hafifu wanajua kupenda na wapo moto sana

    Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana. Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa. Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  19. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

    Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri. Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo kushuka chini, lakini kikubwa kikubwa kikubwa ni Makalio makubwa yaani Mizigo. Ni ukweli usiokwepeka...
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

    wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ? 😁😁😁ila wanajua daah au basi
Back
Top Bottom