Mbunge wa Jimbo la Msalala Mkoani Shinyanga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Iddi Kassim Iddi ameomba kufanyika kwa mabadiliko ya Kisera na Kisheria ili kuendelea kuwanufaisha wachimbaji wadogo wa madini hapa nchini.
Mhe. Iddi ametoa maombi hayo...
Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
MASACHE KASAKA - 40% YA MADINI YANATOKA KWA WACHIMBAJI WADOGO LAKINI MAISHA YAO HAYAAKISI WACHOKIZALISHA
Mbunge wa Jimbo la Lupa tarehe 27 Aprili, 2023 akichangia bajeti ya Wizara ya Madini ya Shilingi Bilioni 89.3 iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Dotto Biteko amesema Asilimia...
Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea.
Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu.
Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya kuonekana kwamba wachimbaji wadogo na sekta nzima ya madini imekuwa na mchango mkubwa sana katika...
Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji
Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo!
Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais.
Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.