wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30

    Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa. 1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30 2. Kuanzia sasa wachezaji 9 watakaa kwenye benchi badala ya 7ilivyokuwa...
  2. Kumbe hawa wachezaji wa Simba ni ndugu halafu hamsemi?

    Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
  3. Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
  4. B

    Simba tuondoe wachezaji kwa heshima

    Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima. Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama online kama CCM wanavyofanya kwa kiingilio cha 10,000 na kila mwaka tulipe 20,000 na mapato na...
  5. Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
  6. Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa? Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na wengi unaweza peleka kule baadaye Nimeweka picha ya Daudi Salum Bruce Lee kama muwakilishi wa wachezaje...
  7. Orodha ya wachezaji wanaolipwa hela nyingi duniani kwa mwaka 2022

    Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali. Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona ...
  8. Tutawalaumu bure wachezaji Simba

    Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu ya kujuwa kuishi na kukabiliana na mazingira anayofanyia kazi na kusoma maisha na Tabia za mwanafunzi...
  9. Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  10. Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
  11. Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  12. M

    Watu wa Yanga SC mkiendelea Kuwasumbua hasa Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC tutawatajeni ili Muumbuke

    Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao. Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na...
  13. Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  14. Siwadai kitu wachezaji wa Simba Sc

    Hapa tunakipokea kikosi airport Mimi na mashabiki wenzangu duniani kote licha ya matokeo ya jana,hatuwadai chochote kikosi cha Simba Sc Kwa jinsi walivyocheza jihadi huku wakiwa pungufu ni dhahiri kwamba ahadi ya kutuvusha nusu haikuwa ahadi ya uongo, bali walimanisha. Simba ilikuwa timu ya...
  15. M

    Wachezaji wa Kigeni wa Kubakia Simba SC kwa Jicho langu Kali la Kiufundi baada ya Kufurumushwa rasmi na Orlando Pirates FC jana ni hawa tu....

    1. Joash Onyango 2. Henock Inonga 3. Clatous Chama 4. Pape Ousmane Sakho 5. Bernard Morrison 6. Peter Banda Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka. Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
  16. Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  17. Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

    Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point...
  18. Simba ikitaka ifike Mbali itafute Wachezaji Waonaojua Kufosi na Kupiga Chenga. Sio hawa wa Mipasi tu

    Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
  19. Udhamini wa Bima kwa wachezaji NBC Premier League

    Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu. Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...
  20. Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

    Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…