Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,805
- 4,500
Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa.
1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30
2. Kuanzia sasa wachezaji 9 watakaa kwenye benchi badala ya 7ilivyokuwa awali.
3. Kanuni ya kubadili wachezaji watano 5 katika mchezo mmoja iuwa ya kudumu.
Kanuni hizi ziliwekwa kipindi cha mlipuko wa Covid-19 lakini kwa sasa CAF wameamua kuendelea nazo.
Haya ni baadhi ya mambo machache ya kuzingatia kabla ya Mashindano ya CAF 2022/23 Inter-Club.