Sub ya Farid Mussa na kuanza na Wachezaji Wasiojitambua Kibu na Mpole badala ya Lyanga na Jabir ndiyo vimetumaliza Leo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid Malick Mussa wa Yanga SC.

Kama kuna Mchezaji ambaye leo katika Mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes ndiyo ameupiga mwingi, alikuwa ameishika Timu nzima na nilishangaa kuona akifanyiwa Sub na Kocha ni Farid Malick Mussa.

Na kama kuna Wachezaji ambao leo hawakuitendea Haki Jezi ya Taifa Stars ni Washambuliaji Kibu Denis wa Simba SC na George Mpole wa Geita Gold FC.

Na kama kuna Wachezaji ambao kwa nilivyoona Commitment na Determination yao wangeanza tokea mwanzo badala ya Kibu na Mpole Timu ya Taifa Stars leo ingeibuka na Ushindi hata wa Magoli mengi ni akina Anwar Jabir na Danny Lyanga.

Goli tulilofungwa ni Makosa yale yale ya Beki wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala ambayo hata akiwa Simba SC huwa anayafanya kutokana na tabia yake ya Kujiamini kunakopitiliza na kupenda Kucheza Mpira wa Kimaonyesho.

Naheshimu mno Uimara wa Golikipa wa Taifa Stars ambaye pia anaichezea Simba SC Aishi Salum Manula ila ana Makosa ya Kufungwa Magoli mepesi ambayo kama angekuwa anazingatia Goalkeeping Skills and Principles kamwe asingefungwa na asingekuwa anafungwa.

Wachezaji ambao pamoja na kwamba Leo Taifa Stars yetu imefungwa na Uganda Cranes ila MINOCYCLINE sina Deni nao lolote na nawapongeza kwa Kucheza vyema ni Beki Kibwana Shomary, Beki Dickson Job na Bakari Mwamnyeto, Viungo Jonas Mkude, Abubakary Salum, Feisal Salum na Farid Mussa.

Najua nia ya Uganda Cranes hata Kimchezo walikuwa wanahitaji tu Sare ( Draw ) hapa Dar es Salaam Tanzania Ili wakatumalize vizuri Kwao Kampala Uganda na tayari naanza kuona na kusikia Watanzania wakikata Tamaa ila Binafsi nina uhakika kama Wachezaji wa Taifa Stars watajengwa na watasaidiwa Kisaikolojia na wakajitambua vyema tuna uwezo wa Kuwafunga Cranes pale Namboole au Nakivubo Stadium Weekend ijayo.

Tujiamini na tuwatie tu Moyo Stars!!!!

Cc: Proved
 
Habari za siku Mkuu.
Binafsi mpaka Sasa najiuliza, Mpole kaanza Kwa sababu ya kuwa mfungaji Bora au mazoezini kweli kaonyesha kiwango kuliko wengine?
 
Kwa Kiwango chake Kibovu alichokionyesha leo imenibidi nijiulize aliwezaje kuwa Mfungaji Bora wa NBC Premier League iliyomalizika.

Kwa Kibu Denis wajitahidi sana wawe wanampa Bangi anayopenda Kuvuta ili acheze vyema kwani kwa nilivyoona Macho yake leo nimegundua hakuvuta Bange ndiyo maana alikuwa si Mchangamfu na Mpambanaji Uwanjani.
 
hahahaha
 
Asilaumiwe shabalala, ni mistake tu imetokea beki za kati na midfield zikawa hazijarud goal likafungwa. Ukiangalia vizr middle nayo haikua vzr.
All in all tuwapongeze tu wapambane zaid watuinue, hakuna haja ya kuwalaum.

Huu usimba na uyanga huku sio mahala pake. Utan wetu ubaki kweny timu zetu sio taifa stars. Tusubiliane tuone nani ataanza kudondosha point tuchekane vzr ila ikkfika suala la national timu, mashabiki maandazi kaeni kwa kutulia.
 
Farid Musa alikuwa anapiga chenga na kukimbia badala ya kuwalisha mipira washbuliaji ila ni kawaida yetu kushangilia chenga.
 
Tshabalala ndio katufunga.. period
 
Habari za siku Mkuu.
Binafsi mpaka Sasa najiuliza, Mpole kaanza Kwa sababu ya kuwa mfungaji Bora au mazoezini kweli kaonyesha kiwango kuliko wengine?
Hata mm nashangaa unamuacha Lusajo kaanza msimu vizuri, unamweka mpole hii ni shida
 
Farid Musa alikuwa anapiga chenga na kukimbia badala ya kuwalisha mipira washbuliaji ila ni kawaida yetu kushangilia chenga.
Wewe jamaa una usimba usimba mwingi sana yaani ni mshabiki kupitiliza. Farid Musa ndiye aliyekuwa ufunguo wa utengenezaji wa mashambulizi kwa Taifa stars. Kapiga cross nyingi sana zenye madhara langoni mwa Uganda lakini wamaliziaji wetu wakawa wanajikanyaga tu. Katoa pasi nyingi tu za hatari lakini umaliziaji wetu ni wa ovyo. Acha ushabiki utafikiri mpira umeangalia peke yako
 
Zaidi ya kukimbia kimbia nielezee hata cross moja ya maana aliyopiga
 
Upo tayari kujitukana nikikwambia? Maana unaongea utafikiri mpira umesimuliwa
Wenzetu wanacheza.mpira Kwa malengo wewe unafurahia mchezaji kapiga chenga au kakimbia hajatoa hata pasi moja ya goli na hata goli tulilokataliwa lilikuwa. Juhudi binafsi ya mchezaji baada ya kupigwa mpira mrefu.
Sishangai maana kila mtu ana uelewa wake.
 
Back
Top Bottom