wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  2. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

  3. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Simba yameanzishwa na Mo na kipa wake wa mchongo. (Wa billion 3). Wachezaji hawana morali kuanzia kambini

    Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
  4. JamiiForums Tanzania Alhamisi 50% Simba SC atafungwa au 50% atatoka Sare na Prisons FC, kwani Wachezaji Waandamizi watamchomesha Kusudi ili afukuzwe

    Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
  5. JamiiForums Tanzania Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  7. JamiiForums Tanzania Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

    TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri; Robertinho uwe unafanya rotation ya wachezaji ili kuepusha kupigana misumali

    Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa! Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

    Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂 Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kuwasajili Wachezaji wa Tanzania bara kama Wageni

    Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
  14. JamiiForums Tanzania Mechi 4 za kimashindano Migual Gamond amebadilisha nafasi zote wachezaji isipokuwa kwa Otola kwasi Yao(Jeshi)

    Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza. Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali waambieni Wachezaji wazawa (Waswahili) waache kuwapiga Miba (Kuwaroga) Wenzao wa Kigeni

    GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao. Na huyo Mganga Wao wa...
  16. JamiiForums Tanzania Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tangu lini TFF ikamiliki Image Right za wachezaji?

    Bodi ya Ligi imetoa marekebisho na maboresho ya kanuni toleo la 2023 ambapo hivi sasa ikiwa mchezo atapata dili zake binafsi na benki nyingine basi hawaruhusiwi kutangaza kwa sababu ya mkataba wa NBC Tanzania na Ligi huku atakayekiuka akikabiliwa na kufungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

    Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
  19. JamiiForums Tanzania Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…