wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanatumia sura yangu kwenda kurogea. Wakuu Nisaidieni

    Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga. Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua. Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
  2. JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani ya nyumba yako

    Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters. Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake. Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze. Chukua...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wasukuma ni wachawi sana kama wanavyoandikwa hapa JF?

    Jamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu. Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi. Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  5. JamiiForums Tanzania Kunyolewa nywele na wachawi, nini ufanye baada ya kunyolewa?

  6. JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lissu aendelea kuumbua wachawi

    Leo imeendelea kuwa siku njema kwa wengi na chungu mno kwa wale wengine. Akihojiwa na Mwananchi, amekuwa wazi kuhusu chokochoko za wachawi: Ama kwa hakika washindwe na walegee. Katiba mpya ni sasa. ------- Source: Lissu ataka pangua zaidi jeshi la polisi
  8. JamiiForums Tanzania Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

    Habari Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa Ila kwa kuanzia hizi hapa 1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira ) 2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi) 3. Chumvi ya mawe Kubwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini matingasi ndio suluhu ya wachawi

    Jana nilikula kavaluu kadogo. Kama kawa nikashashusia za kienyeji baadae nikasakafia na balimi tatu. Nimerudi home saa tano nipo matingasi. Sijasikia malue wala ndoto za ajabu za majinamizi na kukimbizwa usiku
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
  11. JamiiForums Tanzania Aina mbili za Wachawi

    1. Wachawi wa kawaida wanaojulikana; wanaopaa na Nyungo, na kuloga na kuwanga!. Hawa wanamharibia mtu Maisha yake ya kimwili tu, kufanya mtu awe na kasoro fulani fulani za kimwili, au kimaisha. 2. Manabii wa Uongo: Hili ni kundi la Pili la wachawi!, ambalo ni hatari sana kuliko hilo la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    ....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu nao kumbe wachawi?

    Mzuka Wanajamvi! Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani yaani unajiskia huko kwenye high mood. Ghafla nikashtukizia kaajuza fulani mweupee, pale skin na macho...
  14. JamiiForums Tanzania Mbwa wana uwezo wa kuwaona Wachawi?

    Wasalaam ndugu wana JF Kwa almost miaka 12 iliyopita, ninaishi katika eneo ambalo inasemekana lina mauza uza japo binafsi sikuwahi kuyaona kwa macho, ingawa nishaua wanyama ambao wamekuja kiajabu ajabu mara nyingi sana kama nyoka, ndege n.k Katika eneo langu, ninafuga Mbwa, ninao mbwa 5...
  15. JamiiForums Tanzania Nasoma uzi wa Umughaka, unanisisimua sana, sasa naona nafukuzwa na wachawi

    UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana. Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi. Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge. Nikatoka hapo nikaenda...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Abdulmajid Nsekela kwa kuteuliwa na Rais Samia kuingia Tume ya Maendeleo ya Ushirika, ila nakujuza haya...

    Ni tarehe 26/08/2022 Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa masilai Yao awe makini. Lazima nikili yakuwa uteuzi wa Huyu kijana kuwa mkurugenzi wa CRDB...
  17. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa wachawi / walozi waliorejea nchini kutoka sauzi iwe mwiko kushirikishwa shughuli za misikitini na makanisani

  19. JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

    Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi. Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

    Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…