wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge wa Uganda wanataka Kuamua Mashoga Wafungwe Maisha au Wanyongwe kabisa, nasubiria kusikia Wabunge wa Tanzania nao Wataamua vipi

    Ombi langu kama Wabunge wa Tanzania nao wakiamua kama Wenzao wa Uganda ikitokea wenye Jukumu la Kunyonga Mashoga wakikosekana wasisite Kuwasiliana nami kwani naweza kutoa Kwao Ushirikiano Uliotukuka hadi Serikali ya Tanzania ikafikiria Kuniajiri moja kwa moja kuwa Msaidizi wa Israeli Msitisha...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesahau suala la wabunge wao feki viti maalum

    Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum. Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge wanaolimiliki kuwakingia kifua. Ni kitu cha ajabu sana. Watu wanakula mishahara na posho huku hawana chama...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wabunge 2015 wanajiangalia kwenye marudio kupitia internet na tv baada kutoka bungeni

    Aisee yani mpaka aibu wanayo ongea na kujibishana huko.mwengine anaongelea ngono wakati nchi inatatizo la mashule kwao huko vijijini internet wanaisikia. wengine wanatetea wasanii wao sababu alikuwa meneja,wengine waganga. nchi hii mungu tusaidie maana tunazungumzwa vibaya na ilivokuw sifa media...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wa majimbo haya hawawajibiki…

    Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi. Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo. Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila asisitiza kutomtambua Ruto kama Rais, awaambia wabunge wa Azimio 'Usaliti hautavumiliwa'

    Kiongozi wa Chama cha Azimio la Umoja, Raila Odinga amesema umoja huo hautamtambua Rais Wiliam Ruto kama Rais wa Kenya. Odinga ametoa ujumbe kuwaonya wanachama wa umoja huo kuwa hawatavumiliwa kwa usaliti wa kumtambua Ruto kama Rais. === Azimio la Umoja One Kenya Coalition party leader Raila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwatukana Wabunge na kutaka kumsingizia mbunge mwenzake uongo: Nchemba si amrahisishie tu mama kazi?

    Kwa namna suala Zima la Nchemba linavyozidi kwenda Deep na kwa namna Nchemba alivyotaka kuurubuni uongozi wa Bunge ili umwadhibu Mbunge aliyerejea kashfa yake kwa wabunge.Na kwa jinsi Spika alivyomkataa kiaina ingawa kiustaarabu sana. Na kwa Historia ya mahusiano ya Mwigulu na Jamii ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  8. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  9. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waonyesha punic baada ya ruksa mikutano ya hadhara

    Nilikuwa najiuliza kwanini wabunge wameanza kuongea kishabiki kwenye bunge hili? Jibu kumbe ni mikutano ya hadhara. Wemekuwa waki lalama kama vile wenyewe ni wapinzani na kupuuza ukweli wa mambo. Kizuri Bashe amekuwa anajua data kuliko wenyewe. Mikutano kuruhusiwa tu sasa tumeshaanza kuona...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba aache hasira! kujibu maswali ya wabunge ni wajibu sio fadhila

    WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu "Honorary Degrees" mbona haijakaa vizuri, hasa ukizingatia hata Rais Samia Suluhu Hassan juzi tu...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

    Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kukubali kupita bila kupingwa ndiyo chanzo cha wabunge kudharauriwa

    Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo. Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake. Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni hamna kitu. Wanawajibu wanavyojisikia. Huku wananchi hawana habari kabisa na Bunge. Yaani watu wako...
  16. JamiiForums Tanzania Jimbo la Buyungu - Kauli Tata za Waliowahi Kuwa Wabunge

    WanaJf, Salaam! Naenda moja kwa moja kwenye agenda. (a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi." (b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa." (c). 2020 - Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoongoza kwa kulalamika hawalisaidii taifa

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63 (2) moja ya majukumu ya Bunge la JMT (Mbunge) ni KUISHAURI NA KUISIMAMIA SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake Katiba ambayo ndiyo sheria Mama, inaeleza wazi kuwa wabunge...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge watetezi wa kweli wa hoja za wananchi Gambo anaongoza

    Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally. Tuweke list ya top 5 ya wabunge watetezi kweli wa hoja za wananchi bungeni; 1. Mrisho Gambo 2. Bashiru Ally
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamekuwa walalamishi bila kutoa ushauri

    Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa upana wake. Badala ya kulalama watoe suluhisho mfano 1. Je wanafikiri ruzuku iongezwe na pesa itoke...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais apiga marufuku safari za nje kwa Wabunge na Watumishi wa Umma kunusuru uchumi

    Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…