wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wabunge wa Ulaya wafanya ziara nchini Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi

    UMOJA WA ULAYA Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs) kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 24 hadi 26 Februari. Ziara hii...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya wabunge wa viti maalum CHADEMA, kupokelewa CHADEMA makao makuu Juni baada ya bunge kuvunjwa

    Huenda hatma ya uanachama wa wabunge wa viti maalumu wa chadema, maarufu kama wabunge wa COVID-19, ikajulikana mara tu ya bunge kuvunjwa. Inasemekana watapokelewa kwa mapokezi maalumu rasmi chadema mwezi June mwaka huu, mara baada ya ya vikao rasmi vya maridhiano na muafaka wa pamoja kufikiwa...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Wabunge wa zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma

    Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, leo nimeona tuwakumbuke wabunge wa zamani na hapa tuanzie mwaka 2010 kurudi nyuma. Mimi naanza na Idd Mohamed Simba, alikuwa mbunge wangu wa Ilala. Endelea…
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia pekee ya wapinzani kuingia Ikulu ni kupata idadi kubwa ya wabunge kisha kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais

    Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana. Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri. Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa awaagiza wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi iliyosalia kwa kushirikisha wabunge

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge. Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke hapa majina ya Wabunge ambao tuhakikishe hawarudi baada ya 2025

    1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe. 2. January Makamba - Huyu yeye aliona sisi tuliomchagua tunachokosa huku Bumbuli ni draft. So akaamua kututengenezea za kutosha na kutugawia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Wampongeza Rais Samia kwa Kufanikisha Uwekezaji wa DP World na Kuongeza Mapato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Bajeti ya Bunge pamoja na wabunge mbalimbali wamezungumzia maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, yanayotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kusifia maendeleo yake ikiwa ni pamoja na uamuzi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mafao haya manono ya wabunge ukilinganisha na ya watumishi wa umma, tukisema wabunge ni wabinfsi tunakosea?

    MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA. Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Democratic waenda AID hq kuzuia Trump na Elon Musk kuifuta AID

    Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID. Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa. Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote. Hili ni shirika linawasidia watu...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwa na bunge la kudumu la wabunge wanaolipwa muda wote?

    Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo wata wanalipwa kila mwezi tunaweza kupunguza gharama sana na kuongeza ufanisi kwa kuondokana na bunge...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

    Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

    Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

    Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025. Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo...
  15. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Simiyu wasusia kongamano la RC Kihongosi kumuunga mkono Samia

    Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025. mkutano huo umefanyika wilaya ya Bariadi ambapo hata mbunge jimbo husika la...
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

    Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani alisaini mchakato wa wao kuingia bungeni huku akisema yupo tayari kuwapokea wabunge hao . Kauli ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

    Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana. Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyofanyika leo si ruksa kufanyika kwa nafasi za Wabunge na Madiwani?

    Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
  20. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
Back
Top Bottom