Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara.
Akikabidhi msaada huo...
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang
SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara.
Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
Lugha adhimu ya Kiswahili, Rais Samia Suluhu Hassan akielezea tofauti ya Waathirika na Wahanga kwa kilichotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara.
Amesema hayo baada ya watu wengi kutumia neno “Wahanga” wa mafuriko badala ya “Waathirika”.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameishukuru uongozi wa umoja wa Makanisa ya Kipentencoste Tanzania (CPTC) kwa namna walivyoendelea kuonesha upendo kwa kuchangia mifuko 500 ya saruji kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima...
Nimesoma mahali kwamba Airtel inasambaza bure Internet kule eneo la maafa, hiki ni kichekesho kikubwa sana.
kwanza nani asie jua speed ya Internet ya Airtel? Pili je hizo ni moja ya Needs za watu walio kumbwa na maafa pale? Watu wanahitaji Mahema, Maji, madawa, nguo. Airtel wao wanaona Internet...
UTAFITI uliofanywa na jumuiya za wavuvi katika mwambao wa Ziwa Victoria uligundua kuwa zaidi ya watu 217 kati ya 100,000 hupoteza maisha kila mwaka wakati wa kuvua ambapo asilimia 87 ya wanaopoteza maisha ni watu wazima ambao ndiyo nguvu ya taifa katika uzalishaji mali.
Aidha Takwimu...
Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
Salaam Mheshimiwa.
Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla.
Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo:
1. Kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko ya juzi na jana
2...
Kwa mwaka 2022 maambukizi ya ugonjwa huo yalifika wastani wa wagonjwa 208 katika kila watu 100,000 hukua 25,800 wakifariki.
“Asilimia 36 ya waathirika wa Virusi vya Ukimwi wanaopoteza maisha inasababishwa na ugonjwa wa Kifua Kikuu. Hii inathibitisha ugonjwa huu ni hatari na kikwazo cha...
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116)
Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika kuikabili changamoto hii.
Watu 905,700 walibainika kuwa na ugonjwa huu mwaka 2020 pekee huku wengine...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona.
Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini.
Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Tsinghua cha Nchini China ikishirikiana na Kituo cha Kupambana na Magonjwa nchimi humo umebainisha virusi hivyo hubadilisha harufu ya binadamu na panya wanaowaambukiza
Katika majaribio tofauti, wanasayansi hao walipata molekuli zenye harufu kwenye ngozi ya panya...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni
wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.