waathirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Virusi vya Zika na Dengue huwaachia waathirika harufu

    Utafiti uliofanywa na Chuo cha Tsinghua cha Nchini China ikishirikiana na Kituo cha Kupambana na Magonjwa nchimi humo umebainisha virusi hivyo hubadilisha harufu ya binadamu na panya wanaowaambukiza Katika majaribio tofauti, wanasayansi hao walipata molekuli zenye harufu kwenye ngozi ya panya...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa NEMC kuhusu uchafuzi wa mazingira kwa sumu, usiishie kwenye fine tu, wafidie waathirika na kama sumu hiyo ni Lethal, wapandishwe kizimbani!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji haramu wa Binadamu huwapeleka Waathirika mbali na maeneo yao ya asili ili kuwawia vigumu kutafuta msaada

    Fahamu kuwa Kwenye usafirishaji haramu wa binadamu hasa ule wa kuvuka mipaka ya mkoa au nchi kumhamisha muhanga mbali na sehemu yake ya asili kuna manufaa makubwa kwa msafirishaji. Kimsingi, hii inakusudia kumtenganisha muathirika na mazingira aliyoyazoea ambayo yangeweza kuzuia lengo la...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

    Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile. Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli waathirika wa ukimwi wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na Mtoto huyo akakua vizuri

    Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu. Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake waathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi

    Kila ifikapo tarehe 8 Machi dunia inaadhimisha siku ya wanawake, yakiangaliwa mafanikio na juhudi za wanawake katika upande wa kihistoria, kiutamaduni na kisiasa. Siku hii pia inaangazia na kuunga mkono hatua zinazochukuliwa dhidi ya ukosefu wa usawa wa kijinsia duniani kote. Sote tunajua kuwa...
  8. Marjo Mlekwa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waathirika watumike kusaidia mapambano dhidi ya matumizi ya Dawa za Kulevya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na mapambano dhidi ya dawa za kulevya yaendelee!! Kutana na kijana Mtanzania Faraja, umri wake ni miaka 23, hakumaliza masomo yake kwenye chuo cha sanaa Bagamoyo, sababu kubwa ikiwa ni msukumo na ushawishi mbaya wa vijana wenzake ambao siku zote aliamini kuwa ndio...
Back
Top Bottom