waandishi

  1. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

    Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Jaffo anazungumza Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mei 15, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya Hongo Kwa Waandishi, Waandishi nao wanajua ni Habari za CHADEMA pekee zinazouzika !!

    Kuanzia Magazetini mpaka Mitandaoni, Ndani ya Nchi mpaka Nje ya Nchi. Ni CHADEMA TU !!.
  5. JamiiForums Tanzania Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

    Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope? Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  7. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Wanahabari wapewe maarifa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umewakutanisha wanahabari 150 kutoka maeneo mbalimbali nchi ili kuwawezesha kuelewa sheria za uchaguzi,maadili ya kazi,usalama kazini na wajibu wao katika kulinda haki za binadamu kipindi cha uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025. Akizungumza...
  9. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  11. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake

    "Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kulinda matumaini ya Waandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Waandishi wa habari msilemazwe na kufubaa na teknolojia, ya akili mnemba

    "Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu. Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  14. JamiiForums Tanzania Video: G55 Wanaogopa maswali ya waandishi wa habari, wamzuia Chief Odemba kuuliza swali

    Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  16. JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Wanazidi Kuteketea huko Gaza

    Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita. Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya waandishi kwa G55 ya CHADEMA

    https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama: Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Waandishi mmewahi kuhoji nia ya Tundu Lissu kugombea urais? Sisi ni watia nia kama yeye alivyo mtia nia wa Urais

    "Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni watia nia kama yeye alivyo mtia nia wa Urais na sisi tupo hapo hapo."
  20. JamiiForums Tanzania Maswali ya kujiuliza kutoka kwa Mwalimu wa Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania na Mchambuzi Saleh Jembe

    1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo? 2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo leo ghafla inaweza kuwa mbovu? 3. Wamesema na kutwa Wanatudanganya wameenda CAS je, wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…