waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says. This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
  2. W

    Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
  3. Pascal Mayalla

    Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  4. Roving Journalist

    LHRC yalaani onyo la JAB kwa Waandishi wa Habari, yasema linakandamiza Uhuru wa Vyombo vya Habari

    LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari...
  5. N

    Khalifa: Waandishi wa Habari wanayo haki ya kutoa maoni yao, sio jukumu la JAB kuwaonya

    Mwandishi wa Habari Khalifa Said amesema kuwa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imekuwa ikitumia mamlaka yake kinyume na sheria kwa kuwachukulia hatua waandishi wa habari wanapotoa maoni yao, hasa wanapokosoa upande wa Serikali. Amesema kuwa jukumu la JAB ni kusimamia maadili ya...
  6. H

    Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  7. Mindyou

    Gerson Msigwa: Waandishi wa habari tunapoandika habari za masuala ya usalama wa anga tusiweke "hisia" zetu

    Ndugu zangu Naona Zungu kajibiwa tena kwa mara ya tatu Akiwa anazungumza leo jijini Dar Es Salaam msemaji mkuu wa Serikali amesema kuwa kilichosababisha ndege kutokutua Mwanza siku chache nyuma ni moja kati ya "jitihada" za Serikali kuhakikisha kuwa usafiri wa anga unakuwa salama sana...
  8. Q

    Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  9. L

    Rais Samia Ashusha Hotuba Nzito Huko Ethiopia. Waandishi Wa Habari Wapigana Vikumbo kutafuta Nafasi ya Kumuona

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote. Rais...
  10. E

    THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
  11. R

    Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

    Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
  12. Roving Journalist

    Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  13. Roving Journalist

    Mchengerwa: Tutawalinda waandishi wa habari za uchunguzi wanaofichua uovu katika sekta ya afya

    Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. Akizungumza Februari 2, 2026, katika kikao kazi na wahariri wa vyombo vya...
  14. Just Pray

    Profesa Ibrahim Juma: Tume inalinda faragha za watoa ushahidi, tunaposikiliza wahanga waandishi wa habari mtatupisha

    Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji Mkuu Mstaafu Profesa Ibrahim Juma, amesema Tume hiyo itaendelea kulinda faragha za watoa ushahidi wanaofika katika mikutano ya tume hiyo sehemu mbalimbali...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi matukio 2025 yazuia waandishi wa habari kurusha na kurekodi shuhuda za wahanga

    Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi ambapo waathirika wanatoa ushahidi wao. Rais Samia Suluhu Hassan aliunda tume hiyo kufuatia maandamano...
  16. R

    Vyama vya waandishi wa habari na Waandishi wa habari, pazeni sauti kupinga kufungiwa JAMII FORUMS kinyume na sheria.

    PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU WAANDISHI WA HABARI NA VYAMA VYENU VYA TAALUMA. JF ilishamaliza the so called adhabu ya kukiuka maudhui kama walibyodai wao ingawa JF alikopi alichokuwa amekipost huyo mwizi wa Zimbabwe. Pamoja na kuwa adhabu hiyo ilikuwa batili, JF...
  17. Q

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

  18. President of China

    Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  19. Common Folk

    GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  20. Logikos

    Waandishi wa Habari (Professionals) nadhani kwa wakati husika ni bora kutundika kalamu na kufanya mengine-bora hii kazi tuwaachie Citizen Journalists

    Hawa ndugu zetu hivi karibuni walianza kuwabana wenzao na kuwakataza wengine kufanya kazi hii adhimu kwamba hawana Elimu na ili kufanya hii kazi lazima wao kama Tasnia waamue nani wa kuifanya (amekidhi vigezo). Wengine tuliona karne hii ya Citizen Journalists na kila mwenye simu na habari kuwa...
Back
Top Bottom