Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.
Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.
Wananchi hao wanasindikizwa na...