waandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  2. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wafanyakazi Naura Hotel na Impala waandamana kwa Mabango kuilalamikia Mahakama

    Wafanyakazi zaidi ya 200 wa hotel za Naura Spring na Impala za jijini Arusha wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakilalamikia mwenendo mbaya wa mashauri yao ya madai yaliyopo mahakamani unaolenga kuchelewesha haki ya kulipwa Madai yao yanayofikia kiasi cha sh,milioni 700...
  3. mjingamimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sisi Huku kanuni yetu NI ile ile. Ukifa unazikwa tunaendelea na maisha
Back
Top Bottom