Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why?
Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana.
Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe...