Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa...
Hivyo ndivyo tutakuwa na amani.
Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali.
Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi.
Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili.
Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii.
1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko!
Kwa nini Congo isiwabane UAE...
KUNA HATUA HUPIGI KWA SABABU KUNA WATU UNAWANG'ANG'ANIA, WAACHE.
Yawezekana ikawa ni kuoa/kuolewa umekuwa kwenye mahusiano na watu ambao kihaiba ni KATAA NDOA na wewe unaona ndio aina/type yako kumbe wanakuchelewesha tu
Sio vibaya kujiuliza kwanini kila mahusiano yako hayazai ndoa? Shida ni...
Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.
Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania.
Lakini baada ya kuondoka Kwa...
Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini.
Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR.
Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
Wadau hamjamboni nyote?
Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah!
#Times of Israel
In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi.
Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane.
-Wape ulinzi,
-Hakuna kitakacho haribika
-utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R
-utapunguza malumbano ya kulilia haki.
Baada ya Maandamano:
Baaada ya Maandamano, utajitokeza na...
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024.
Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru.
Maana wapo boda boda na baadhi ya bajaji ambao sio wastaarabu huacha njia zao na kutumia njia maalumu...
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma.
Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
WAKIKUKOSA WALIPOENDA KUKULINGANISHA USIKUBALI WARUDI TENA KWAKO.
Ukiona mtu karudi kwako tena usishangalie bali jiulize haya:
#Kwanini aliondoka?
#Kwanini karudi tena?
#Wewe si yule yule?
KWANINI ALIONDOKA?
Ukweli mchungu huwa :
#Alikuona sio hadhi yake.
#Alijua wapo wa zaidi yako
#Hali...
Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo.
KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.
Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.
Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?
Serikali ikipiga kimya wale jamaa...
Wamakumbi.
BREAKING:
🇱🇧🇮🇱 Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel. Vita vya kiwango kamili ni hakika zaidi
Mjumbe Maalum wa Marekani, Amos Hochstein, anatangaza kwamba juhudi za kidiplomasia za kutuliza mivutano kati ya Israel na Hezbollah zimeshindwa rasmi, kwani Hezbollah...
Je, sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(TBC Fm ya zamani).
Naomba tujadili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.