vyuo

  1. JamiiForums Tanzania Wimbi la Watu kwenda kusoma Ulaya na Maendeleo ya Vyuo Vikuu Nchini

    Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa.. Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2024/2025 zinatoka lini?

    Wakuu mko salama? Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection. Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kufundisha vyuo vikuu binafsi

    Hello family? Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje? Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi. Ahsante.
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo vya ualimu vyatunishiana misuli na vyuo vikuu kwenye sifa za udahili

    Mwaka wa masomo 2024/2025 umekuwa wa tofauti kuliko miaka nyumba, kupitia wizara ya Elimu kumekuweko na mabadiliko ya kimitaala katika uendeshaji wa Elimu yetu. Moja ya madiliko ni kuwekwa Kwa vigezo vinavo fanana Kwa ngazi tofauti mfano nihili la vyuo vikuu na vyuo vya ualimu kuwa na vigezo...
  5. JamiiForums Tanzania Vyuo vya tanzania havina uwezo wa utanuzi wa mawazo mpaka kwa wanao wafundisha

    Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Application za Vyuo, verification ya Vyeti RITA

    Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta. 1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO 2.kufanya application za vyuo vyote. 3.kufanya application ya mkopo kwa wale wanafunzi wa vyuo.especially degree na level ya juu...
  7. JamiiForums Tanzania Wasomi na vyuo haviaminiki ndomana Sasa hivi ajira mpaka interview (Usajili)

    @wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01. Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Vyuo vya ELIMU maalum ngazi stashahada (diploma) hususan Kwa viziwi

    Habari za mchana. Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse...
  10. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Admission capacity za vyuo 2024

    Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
  12. JamiiForums Tanzania Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  13. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi, dirisha la vyuo vya afya limefunguliwa? Na anaweza akapata huyu?

    Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B. Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…