Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji.
Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.
Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi...
Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme...
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Iringa vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini, wamefanya maandamano mjini hapa na kutaka bei ya umeme ishuke mara moja. Aidha wanafunzi hao pia wametaka waliochangia kupanda kwa huduma hiyo ya kijamii wafikishwe mahakamani haraka, wafungwe maisha au kunyongwa...