vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi Sio Maadui: Wajibu wa Vyombo vya Ulinzi

    Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa kauli zinazoweza kutishia wananchi, kupambana nao au kuwachukulia...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwamba vyombo vyetu vyote vya habari vimeshindwa kufuatilia Ili kufanya mahojiona na Makamu mstaafu Hadi mkuu Pascal Mayalla

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii. Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi. Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya CNN, MSNBC, na Politico vyapigwa marufuku kuingia Ikulu ya Marekani,

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma. Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  5. JamiiForums Tanzania Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

    Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip. Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Karibuni sana. Godbless Lema.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  8. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  11. JamiiForums Tanzania Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mtafikiwa tu mwenzako akinyolewa zako tia maji

    Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za malayman
  13. JamiiForums Tanzania Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Chalamila leo, ni matokeo ya VYOMBO kutokumueleza ukweli kila uchwao

    Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii, Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  17. JamiiForums Tanzania Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  18. JamiiForums Tanzania Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

    Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa. Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa. pia chanzo Cha matatizo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…