Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k..
Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama.
Huo utatu wa...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika.
"Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
Hebu tazama Tanzania inavyopendeza kwa ulinzi na usalama wa kutosha kila kona ya nchi. Usalama ni wa uhakika na hakikisho la amani kwa waTanzania wote dhidi ya vitisho vya kigaidi kutoka kwa maharamia na mamluki wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi hakuna tena.
Ndugu mdau wa JF,
ukipata...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.
Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.
Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna...
Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda.
Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha.
Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania.
Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM.
1.Utekaji
2.Mauaji
3.Uchakachuaji wa uchaguzi.
'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani.
Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC...
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao
Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM).
Baada ya kupita...
Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe.
Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate kwa Shilingi laki Moja tuanze kujikuta tunatumia Shilingi ya Kenya kwenye uchumi wetu ni vyema tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.