Habari ya jioni wakuu,
Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi.
Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu mihimili mikuu ya nchi hii haiko huru.
Imefika mbali tunaanza kutoana uhai sisi kwa sisi ,hii laana...
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita.
Akihutubia mkutano wa hadhara Julai 5, 2025 katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, Semu alisema...
Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia.
Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa.
Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe .
Polisi hawana mamlaka juu ya...
TAARIFA KWA UMMA
UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME
Jumanne, 03 Juni, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai TANESCO inashirikiana na vyombo vya ulinzi na...
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo.
Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani.
Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa May 4, 2025 kuhusu kufuatilia na kuchunguza tuhuma zilizotolewa na Mwananchi (ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa) kupitia Mitandao ya Kijamii, akiwatuhumu askari Wawili kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi huku wakitaka...
Wanabodi,
Naamini kwamba msimamo wa mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu ndio utakao tufahamisha kama kweli hana hatia.Ushahidi wa kutosha kutoka upande wa serikali ndio unaoweza kumshawishi hakimu kutoa adhabu ya kifo kwenye kesi hii ya uhaini.
Mwanasheria yeyote mwenye nafasi ya kumtetea...
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee..
Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya...
Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja
1. Wafuate viapo vyao
2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru
3. Wasitumike kwenye...
Hili suala lipo serious sana.Kwa ujumla eneo la Nyasura lina idadi kubwa sana ya wahalifu.Awali walijikita katika kuiba na kupora mali za raia ila kwa sasa hali imekuwa tofauti kabisa.
Kundi hili la wahalifu na vibaka wameanza kuvizia na kushambulia wanafunzi.Kila walipo hutembea na visu...
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.
Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.
Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.
Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba Naelewa na kuamini kwamba kauli ya Mheshimiwa RAIS iliakisi kile ambacho yeye kama Samia Suluhu Hassan anakiamini na anakifahamu ila hakikuakisi kile ambacho RAIS anafahamu. Sisemi hivi kwa lengo la kumtetea bali nataka tu niaze mjadala huu katika namna ambayo...
Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.
Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"
Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.