Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama.
Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania yalijili lakini binafsi siamini kama tulifika HATUA hii
Yaani silaha zilipitishwa mipakani kama...
Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam).
https://fr24.com/VDA7720/3d20aa2e
Ndege hii ya aina ya Antonov An-124-100 maarufu kama 'Ruslan' ina uwezo wa kubeba mpaka kifaru.
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo...
Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill Kama nilivyoleta Uzi hapa !
Kikwete amehusika katika kuwapa order kikosi kuwakamata wanaogusa ugali...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais.
Wananchi tutachukua...
Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama.
Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. Matembezi hayo ya miguu yalihudhuriwa na Kamanda wa...
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
Wanasheria wa Humphrey Polepole wameitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka, kutumia rasilimali zote zilizopo kuhakikisha usalama wake na kutoa taarifa kwa Watanzania na jamii ya kimataifa kuhusu matokeo ya juhudi hizo, pamoja na hali ya kisheria ya Polepole. Wanasheria wake...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama .
familia hizo ni
Mwinyi
Samia
Kikwete
Habari ya jioni wakuu,
Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi.
Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu mihimili mikuu ya nchi hii haiko huru.
Imefika mbali tunaanza kutoana uhai sisi kwa sisi ,hii laana...
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita.
Akihutubia mkutano wa hadhara Julai 5, 2025 katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, Semu alisema...
Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia.
Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa.
Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe .
Polisi hawana mamlaka juu ya...
TAARIFA KWA UMMA
UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME
Jumanne, 03 Juni, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai TANESCO inashirikiana na vyombo vya ulinzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.