Mbunge Musukuma ameshangazwa kuendelea kukutana mitaani na watu walioneza propaganda kuhusu miaka 100 kwenye mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World. Musukuma amedai vyombo vya ulinzi na usalama wamekuwa wapole na haiwezekani kwenda kwa namna hiyo bila hatua...
Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
Wasalaam nyote!
La mgambo likiliia ujue kuna jambo.
Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye chaguzi hizo.
Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi...
Wakati wa JPM tuliona mikeka mingi ya kupandisha vyeo Watumishi wa umma ila Siyo kupanga safu ya vyombo vya dola. Ilifika wakati ikaandaliwa makala kuhusu gap lilolopo kwenye jeshi la Polisi hasa nafasi za makamishna waandamizi, na wasaidizi waandamizi ikielezwa kwamba Hali hii IPO SAWA Kwa...
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.
Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini.
Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao.
Sasa...
Sina tafsiri halisi ya GAIDI ya Tanzania ila TERRORISM /noun the killing of ordinary people for political purposes. UGAIDI/jina[nomino] ni kuua watu wasio na hata kwa mlengo wa Kinshasa.
MAANA YA HATIA
Hatia ni ile hali ya kuvunja sheria au kuwa na kosa kisheria.
MAANA YA BILA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.