vyombo vya ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Huwezi vitenga vyama vya kikomunisti na vyombo vya ulinzi na usalama/majeshi

    Katika siasa za ukomunisti: Chama chenye mamlaka ya utawala ambacho ni chama cha kikomunisti kimejishikiza na vyombo vya ulinzi na usalama vyote. Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinakuwa chini au katika uangalizi wa chama cha kikomunisti. Wakuu wake wote huwa ni wanachama watiifu wa chama...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi kama CCM wametendeana hivi (mtu mkavu) vipi Kwa wapinzani? (Mti mbichi)

    Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi? Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio...
  3. baro

    JamiiForums Tanzania Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

    Ndugu Wana ukumbi, Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi? Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Nia ya Gwajima ni kushawishi Vyombo vya ulinzi kuichukia Serikali japo ameshafeli

    Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Nani mwenye nguvu Nchini hii anayeshinda Vyombo vya Dola hadi kuteka na kuuwa Watu?

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
  7. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

    Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo? Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
  8. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mikopo ya Tanzania, Hayati Magufuli na Ndugai walikuwa mbele ya muda

    Tazama hii video ya Wazawa.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Issa Ponda: Tunakuwa na taifa la namna gani kama mtu anachukuliwa tu nyumbani kwake na kwenda kuuliwa?

    Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani kama matukio haya yanaendelea na wanaofanya hivyo wana zana kabisa. Aidha ameeleza kuwa matukio...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

    “Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wito kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Msiogope, simameni na Wananchi, CCM wanatupeleka pabaya!

    Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya. Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha na matumizi mabaya ya kodi za wananchi huku wakitaka watukuzwe at the expense ya kodi za wananchi...
  15. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

    Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

    Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani -...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa vyombo vya Ulinzi na usalama

    Msako mkali wa polisi dhidi ya vijana 520 wa Tanzania Bara wa kambi ya upinzani kati ya tarehe 9 na 12 Agosti 2024, hii ikiwa ni mkakati wa kuwazuia kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Vijana, kama walivyotaka, kwa madai kuwa polisi walikuwa wanazuia. Tishio la wazi, lililopo na lililo karibu...
Back
Top Bottom