vyombo vya dola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo: Mazingira ya uandikishaji wapiga kura wapya Zanzibar yamegubikwa na matumizi makubwa ya vyombo vya dola

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na matumizi ya nguvu na ushawishi wa vyombo vya dola. Kwa mujibu wake, hali hiyo inaashiria kwamba watawala...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

    VIDEO: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Hapi ameyasema hayo wakati akizungumza na wanachama wa CCM na Jumuiya ya Wazazi wilayani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utekaji na uuaji unaofanyika Tanzania ni sawa na kilichofanywa na vyombo vya dola Uganda dhidi ya wananchi wakati wa Idd Amin Dada

    Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda. Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

    ..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana

    Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama pinzani. Kuteka, kuua na kunyanyasa wapinzani. Ila akili ya kupambana na maafa ni zero. Tuliona kwenye...
  8. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari. Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Viongozi wa Serikali msiingilie majukumu na kazi za vyombo vya Dola

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuepusha vyombo vya Dola kujihusisha na Siasa Rais wa Nchi asiwe MwenyeKiti wa Chama cha Siasa

    Ili vyombo vya Dola visiegemee kwa wanasiasa wakati wa utendaji wa majukumu yao, itungwe Sheria ya kuzuia Mtu anayeshinda kuwa Rais wa Nchi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa. Hii itaepusha hata kwenye matumizi ya mali ya umma kwenye Chama cha Siasa. Watunga Sheria na wasimamizi wa Sheria...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je wajua! Hata Marekani kuna watu wamepiga matukio, yakiwemo ya mauaji na mpaka leo "haaajulikani' kwa vyombo vya dola?

    Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari. Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa! Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
  13. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Kama Vyombo vya Dola vingekuwa vinazingatia Sheria na Mfumo wa Haki Jinai wasingekuwa wanahusishwa na matukio ya utekaji

    Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu ni mbaya kuliko wakati wowote ule katika historia yetu walau kwa kipindi cha miaka ishirini...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

    Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
  15. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pabro Escobar aliye tikisa vyombo vya dola vya Colombia

    Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri sana siasa, uchumi, na jamii ya Colombia na ulimwengu mzima kwa jumla. Pablo Emilio Escobar Gaviria...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

    Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola. Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kisheria kuhusiana na utekaji unaoendelea

    Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
  20. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

    Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Back
Top Bottom