More to come…
Kaiweka barua mwenyewe mtandaoni:
=======
Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kukutaarifu kuwa nimefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu ya Uongozi wa Umma nikiwa Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana – Cuba, pamoja na uwakilishi wa...
Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!.
( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulikana linafahamika vizuri na vyombo vya dola, na kwamba hatua zaidi kuhusu uchunguzi na haki zipo katika vyombo hivyo vya usalama.
"Vyombo vya dola vimekuja...
Wiki hii nchini Afrika Kusini kuna habari nzito inatamba kuhusu Mkuu wa Polisi wa Jimbo la Kwa Zulu Natal Luteni Generali Nlanhia Mkhwanazi kumsema waziwazi mbele ya vyombo vya habari Waziri wa Masuala ya Polisi wa Afrika kusini kujihusisha na magenge ya kihalifu.
Mkuu huyu wa Polisi alifikia...
Kwanza kufanikiwa hili ni lazima KATIBA MPYA IWEPO.
Ndugu zangu, mnajua kunaujinga ulifanyika wa kuunganisha Dola na CCM miaka Ile wakati wa Mzee Nyerere !.
Inawezekana Kwa Nyakati zilez mazingira yaliruhusu hivo kwakua tulikua na CHAMA KIMOJA TU , Hivo ulikua ukizungumzia Kamati ya Usalama...
Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola...
Kama heading inavyoeleza, huu ndio unaweza kuwa ni uhalisia wa mambo na ndio maana Gwajima katumia nguvu kubwa kuwatetea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Ni lazima ujiulize ni kwanini Gwajima amekwepa kabisa kiwatuhumu wakuu wa vyombo vya dola na badala yake amelenga mamlaka ya uteuzi...
Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu;
1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii?
2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa...
Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
Ni mtazamo wangu, na sababu kuu ni kwamba wanawaweza kufanya lolote bila uoga wa kufokewa, kutumbuliwa, wala karipio.
Awamu hii unaweza kuambiwa utaona , tutaona na ikatimia kweli, nawapa tahadhari kama huna faida na jambo lenye ukakasi omba yaishe endelea na maisha yako.
Kupeana tahadhari ni...
Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida.
Taasisi za serikali...
Taratibu injili ya NO REFORMS, NO ELECTION inaanza kuwaingia hata waliokuwa na mioyo migumu kama chuma ndani ya CCM...
Huyu hapa kwenye video hii ni Mbunge wa CCM jimbo la Mlimba, wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro..
Kwa tahadhari kubwa, (bila shaka akihofia kusonywa na wenzake) huku...
Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
Wakuu,
Kabla ya siku ya kesi kusikilizwa yalitoka matamko mengi ya kuzuia wananchi kwenda kusikiliza kesi hiyo na vitisho mbalimbali kuwa watakaojitokeza watashughulikiwa.
CCM nayo hakikuwa nyuma kwenye kurusha vijembe wakisindikizwa na chawa wao kuwa wanaotaka kwenda kusikiliza kesi hiyo ni...
Hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika maana walio jaa hapo ni watanganyika na wala sio wakenya wala wakongo ,na wana haki sawa kabisa kama wale wanao andamana na T-Shirt za SAMIA kila siku mabarabara mara wakiwa na Jokate, mara wakiwa na Nchimbi
Wana haki sawa kabisa maana nao ni hawa...
Nadhani njia nzuri ni kujitafakari kwanini upinzani uungwe mkono kwa hiyari na huku CCM ikitumia Rushwa ,wasanii maarufu na watu maarufu, vitisho na mitutu ya bunduki kulazimisha kukubalika?
Mjitathimini tu. vita yenu si vita mnayo pigana na upinzani bali ni vita mnayo pigana na watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.