Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,051
- 10,853
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki
Sambamba na hilo Jaji Warioba pia ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa na wilaya ambao kimsingi ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama kwenye mikoa na wilaya zao kuacha kuandamana na maafisa/askari wa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapofanya ziara za kukutana na wananchi.
Credit: Jambo