vyombo vya dola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Agents Provocateur: askari kanzu wanaojipenyeza kwenye maandamano ya amani kufanya vurugu ili kuyachafua na kuhalalisha nguvu kubwa ya vyombo vya dola

    1. Wanachofanya Hujipenyeza kwenye mikusanyiko ya watu wanaokusudia amani. Huanza kuhimiza vurugu, uharibifu wa mali, au vitendo vya wizi. Hubadilisha taswira ya maandamano kutoka amani kwenda fujo. Hutoa mazingira ya kuhalalisha matumizi ya nguvu kali. Kukusanya taarifa za viongozi wa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Leo serikali na vyombo vya Dola nataka kusema nanyi hasa kuhusu suala la Utekaji

    Hamjambo! 1. Binafsi Niko salama salimini. 2. Oooh! Robert unajua unazungumzia nini? Unaushahidi wa unachozungumza? 3. Sikiliza. Moja ya mambo yaliyotufikisha hapa tulipo nje ya madai mengine ya Haki(zingine) ni suala la Utekaji. 4. Nilisema, utekaji sio mbinu bora ya kushughulikia matatizo...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Polepole alikua Mbele ya mda Sana CCM kwa sasa tunaongea Lugha moja Chama Kimekufa kwa Wananchi maskini kimebaki kwa Mabwanyenye

    Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye wengine...
  4. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania D9 ni Mtego mwingine kwa Polisi na Vyombo vya Dola?

    D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu. Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua Mali ya Umma

    Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  8. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Wito kwa mashabiki wa soka Tanzania kuomboleza kwa pamoja mauaji yaliyofanywa na vyombo vya Dola Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani, Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi mwa vyombo vya dola wakati wakisimama kudai haki zao za kidemokrasia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  9. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Watekaji wana nguvu kuliko vyombo vya dola

    Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau. Kuna watu wamekimbia nchi kwa kuogopa kutekwa. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Profesa Shivji: Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu

    Juu ya Mateso Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya mabavu vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu. Hayasahauliki, hayasameheki wala hayakubaliki. Ni udhalilishwaji wa utu mara mbili. Moja ya yule aliyeteswa - utu wake unakanyagwa, unasagwasagwa na kutupiliwa mbali...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania haitakwepa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu au "Crimes Against Humanity" yanofanywa na vyombo vyake vya usalama na washirika

    Nikiwa ni mtanzania na raia mwema kwa nchi yangu nimejikuta nikiingiwa hofu kuu juu ya mstakabali wa maisha ya raia wa nchi hii. Hata wale raia wa kigeni nao kwa kusikia taarifa hizi kupitia mitandao ya kijamii bado waendelea kushangaa kwa jinsi mambo yanavyokwenda kama hakuna kinoendelea. Na...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani ataibuka mshindi kati ya mtandao na vyombo vya dola kwenye sakata la Polepole

    Sitii neno. Hali ilivyo ni kwamba kuna mnyukano kati ya mtandao na vyombo vya dola. Je, nani ataibuka kidedea? Najiwazia kimya kimya.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo avitaka vyombo vya dola kutenda haki

    Mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amevitaka vyombo vya dola Nchini kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa kwakuwa vipo kwajili ya kuwahudumia watanzania wote. Kauli hiyo ameitoa kwenye mkutano wa hadhara iliofanyika Kata ya Mahembe Jimbo la Kigoma...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni muhimu vyombo vya dola kujitegemea, ambao awawezi kuondolewa na mwenyekiti wa chama na rais

    "Ni muhimu vyombo vya dola kwa maana ya Jeshi la wananchi, usalama wa taifa, jeshi la uhamiaji, polisi, jeshi la magereza na mengine yote yanabidi yaweze kujitegemea, ambao awawezi kuondolewa na mwenyekiti wa chama au rais". -Amesema Askofu Gwajima Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TLS: Tumesikitishwa na vitendo vya kudhalilisha, kukandamiza, na kutweza utu wa Lissu anavyofanyiwa na Vyombo vya Dola

    1 AGOSTI, 2025. TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY. Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tungekua na Vyombo vya Dola huru, Kwa Manufaa ya Taifa, Umoja, Mshikamano na Maendeleo thabiti yanayowaunganisha Watanzania

    Niliwahi Uliza , Huu Utekaji, Mauaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya kuua Viongozi wa Dini, Kumpa LISSU kesi ya kihuni, Kuzuia CHADEMA , kujtahidi sana Mbowe kua Mwenyekiti wa CHADEMA, kufadhili CHAUMA, haya yoooote ni sababu ya Urais wa Miaka mitano tu?. Urais ambao Hayati Magufuli...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Dkt. Kimondo: Tatizo mtu akiongelea tu utekaji anaanza kusumbuliwa na Vyombo vya dola vipo, kuna nini nyuma yake?

    Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo. "Katiba ya Nchi inaheshimu uhai wa Mtu, sasa kama...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
Back
Top Bottom