Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani.
Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe...
Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia televisheni ya taifa.
Tangazo hilo limekuja ikiwa ni siku chache tangu serikali hiyo ilipotangaza azimio...
Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo.
Kwanini vyama vya kisiasa...
Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege.
Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi...
Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubali uwezo wa Rais.
Sijui chama cha mapimbi na n.k
Hivi vyama vina uwezo gani yani leo Dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.
Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa.
Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la...
Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Utangulizi
Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.
Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.
Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Habari wakuu
Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
Ni vyama vile ambavyo vitashiriki uchaguzi mkuu na kuwasilisha wagombea na ratiba za kampeni ndivyo viruhusiwe kufanya mikutano ya kisiasa. Hii itaondoa mvurugano na vurugu zisizo na msingi, na pia kuimarisha ulinzi na usalama
Wahuni wengine wasubiri kwanza watu wanaotumia haki yao ya kikatiba...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
ajenda
bora
hii
kuelekea 2025
kuwepo
mfumo
mfumo wa vyama vingi
no reform
no reform no election
no reforms no election
tanzania
tundu lissu
vingi
vyamavyama vingi
Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao?
Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50.
Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
Mimi ni muumini wa demokrasia na uchaguzi huru na haki, na ni mwana mageuzi kutokea NCCR sasa naomba nifahamishwe mikakati iliyopo ya kukabiliana na changamoto za sasa za uchaguzi iwapo watashiriki.
Mimi ninaamini iwapo kama hapatakuwa na mifumo na utashi wa kisiasa CCM lazima ichukue kata...
CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo.
Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.