Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm.
Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge.
Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM.
Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali.
Hivi tutafika kwa maisha haya.
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.
Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.
Sasa hapa ni...
TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995
Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote
Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
Salam wana JF,
Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa zaKujiendeshea?
2: je! Kama Kuna Misaada kutoka mashirika ya Kimataifa; ni % ngapi zinagawiwa.
3...
Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia.
Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
Kuna mambo mawili
1. Kuwa out of control
2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani. Wapowenye matatizo ya akili rasmi na wengine hujifanya wana matatizo ya akili ili wapate dili ndani ya...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma?
Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?.
Msajili anasemaje katika hili?
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae.
Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza...
Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika...
Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga wa kuacha kile alichoanza nacho..Maana vyama pinzani vilikuwa vinaenda kujifia vyenyew bila nguvu...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s Party for Reconstruction and Democracy), kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila.
Chama cha...
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
Vyombo vya habari vya Tanzania havina udadisi. Magazeti yameandika habari ambazo hata msajili wa vyama hana habari nazo.
Nimefuatilia nakubaini kwamba hakuna chombo cha habari chenye maamuzi haya na wala hakuna barua ambayo Mchome amekubali kupewa nakala. Hizi habari zimechapishwa kuwapima...
Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini.
Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.