UCHAMBUZI WANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO.
Leo 12:50hrs 30/08/2020
Miaka yote ya uchaguzi Mkuu,Wapinzani walitambaa na kashfa za ufisadi kama ajenda yao kuu ya kuwaambia Watanzania,utakumbuka kashfa ya Ufisadi wa Kagoda,Meremeta, Epa,2005...