vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  3. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania TBC na Vyama vya Upinzani kuna ugomvi gani, au ni maagizo toka juu?

    Wakati wa Utawala wa Magufuli ilikuwa ni kawaida kuyasikia TBC wakimtangaza Mtawala Muda wote Alipo na kutoisikia TBC ikitangaza habari na matukio ya vyama vya Upinzani Watanzania. Hatukushangaa kwani amri ilikuwa ya Magufuli tu, leo tupo Awamu ya 6 bado TBC wanaendelea na Kutokutangaza Habari...
  4. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

    VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona. MbagalaZmaHome yonapavea@gmail.com 0713802226 Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

    Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar. Muda: Saa tano kamili asubuhi Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam. ====== UPDATES; Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
Back
Top Bottom