Habar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa JamiiForums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa JamiiForums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe...