vodacom tanzania

  1. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yaandaa Kambi ya Matibabu Bure Morogoro

    Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
  2. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yajenga Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Msingi Mkata Handeni

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
  3. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Nitawashtaki Vodacom Tanzania kwa kosa la kunitamanisha

    Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka. Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya...
  5. Blasio Kachuchu

    Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  6. Jamii Opportunities

    Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  7. Jamii Opportunities

    Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  8. Optimistic_

    Vodacom router bure kabisa kwa shuleni, hospitali na zahanati za serikali

  9. excel

    Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  10. Vodacom Tanzania

    Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi

    Ndugu Mteja, Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika matumizi ya huduma zetu. Maboresho haya makubwa ya miundombinu yetu ya TEHAMA yanalenga kukuletea huduma...
  11. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania visits Makulu Primary School in Dodoma

    Vodacom Tanzania Plc and Stanbic Bank Tanzania officials paid a courtesy visit to Dodoma Regional Commissioner Ms. Rosemary Senyamule (centre) ahead of the arrival of the Twende Butiama Cycling Tour in Dodoma on Tuesday last week. As part of the initiative, Vodacom and Stanbic donated 100 desks...
  12. Waufukweni

    Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  13. W

    Mahakama yaifuta kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited. Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa...
  14. J

    Kesi ya kutekwa mwanahabari Kabendera, Mahakama kumaliza ubishi wa uhalali wake leo

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
  15. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania yatangaza washindi wa droo ya sita ya kampeni yani balaa

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Tawi la Dodoma mwishoni mwa wiki katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini...
  16. GEBA2013

    KERO Vodacom punguzeni wizi na utapeli

    Vodacom mmekuwa wezi na matapeli, mnachukua pesa za watu kwenye M-pesa na muda wa maongezi kitapeli. Mara nyingi nimevumilia inatosha. Hii laini kama sijachoma moto basi sitatumia tena. Utaratibu wa kupiga simu huduma kwa wateja ili kuongea na wahudumu mmeondoa. VODACOM MUWE NA HURUMA...
  17. Pfizer

    Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania

    Vodacom yaahidi kuwekeza zaidi katika maswala ya uvumbuzi Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Phillipe Besiimire Jijini...
  18. Suley2019

    Vodacom Tanzania yainunua kampuni ya Smile kwa Tsh. Bilioni 68.8 ili kuongeza usambazaji wa mtandao wa 4G na 5G

    Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4 milioni), ili kusaidia mipango yake ya kuzindua huduma za mtandao wa 4G na 5G zinazoshindana...
  19. jonas amos

    VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
  20. JITU BANDIA

    Hakuna namna naweza kuwashtaki Vodacom Tanzania kwa kuchelewesha muamala!?

    Wakuu, hivi kisheria hii imekaaje!? Kuna uwezekano wa kuwafungulia shauri mahakanani hawa watoa Huduma kama Vodacom Tanzania kwa tatizo la kuchelewesha muamala wangu wa MUHIMU!? Haya makampuni yamekuwa yakifanya kazi kwa mazoea sana... na kufanya wanachojisikia... Hivi hakuna sheria ya wajibu...
Back
Top Bottom