vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  2. JamiiForums Tanzania Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

    Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msikilize vizuri Lukuvi hapa, kuna kitu utagundua.

    https://youtu.be/pmlrlWpEpKI?si=l_PDJuGUWLNtTOHF
  4. JamiiForums Tanzania Bodaboda Ni Jeshi kubwa. Nahofia siku moja hawa watu wakipata akili wakatumika vizuri.

    Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
  5. JamiiForums Tanzania Kijana usikurupuke kuoa mwanamke usiyemjua vizuri

    Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee! Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa epuka sana kuoa mwanamke Kisa HISIA ZA MAPENZI na KISA KAKUTUNUKU TUNDA ukadhani unapendwa. Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania HII 3BEDROOMS KILA MTANZANIA ANAYEPAMBANA VIZURI ANA UWEZO WA KUIJENGA 0624004650

    PLOT SIZE 20X20M DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM
  7. JamiiForums Tanzania Ijue vizuri kozi ya architecture

    Architecture ni taaluma ya kusanifu, kuchora na kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali kama nyumba, maofisi, shule, hospitali, misikiti, makanisa, n.k. Mwanafunzi wa kozi hii anafundishwa jinsi ya kubuni majengo kwa kuzingatia matumizi, uzuri, uimara, usalama na mazingira. 2. MUDA WA KOZI Kozi...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu za kukusaidia kuomba vizuri kwa muda mrefu - 1

    MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1 Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu. Hakikisha Unafuatilia somo hili Hadi mwisho na Mungu atakuinua viwango vingine kimaombi. Ni muhimu sana kwa mwana...
  9. JamiiForums Tanzania Ijue vizuri kazi ya contents creators

    Content Creator – Mbunifu wa Maudhui Chanzo: chuosmart.com 1. Maana ya Content Creator ni Nani? Content Creator ni mtu anayebuni na kutengeneza maudhui (content) kwa ajili ya matumizi ya kidigitali — kama vile video, picha, maandiko, podcast, blogs, infographics n.k. Maudhui haya huwekwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida yoyote ambayo utamweleza mtu akaelewa vizuri

    Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi. Mahala popote mwenge unapoenda sina hakika kunamwananchi utamuuliza faida za mwenge na akakupa majibu...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiona umekaa sana, kaa vizuri

    #Porojozabongo "Ukiona umekaa sana, kaa vizuri." "Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza "Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro "Hapana, hiyo ni ya maisha. Ukiona umekaa sana—yaani maisha yako hayatembei, kila kitu kimesimama—basi kaa vizuri, kwa maana...
  12. JamiiForums Tanzania Wekeza weka akiba ili uishi vizuri kesho

    Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote. Lenga kutumia chini ya unachopata. Tenga asilimia kwa kila...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Wanahabari tumieni kalamu vizuri kuandika habari zinazohusu Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini. Amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Huu mstari ukiuelewa vizuri kuna vitu hautateseka

    HABARI WAKUBWA MSTARI KUTOKA MIKA 7:5 Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari. 🙏
  15. JamiiForums Tanzania Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

    Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa. Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha...
  16. JamiiForums Tanzania Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

    Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
  17. JamiiForums Tanzania Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

    Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Dogo Paten atumie vizuri huu upepo wake

    Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda. Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kinajimu tarehe ya fainali 25-05-2025 imekaa vizuri sana kwa Simba

    Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025. Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255. Utabiri wangu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…