vizazi vijavyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa nimejitahidi kupanda zaidi ya miti 700 tujitahidi kutunza mazingira kwaajili ya vizazi vijavyo

    Kupanda miti ni muhimu sana kwaajili ya vizazi vijavyo.. tukiharibu nature outcome yake ni mbaya sana
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasisitizwa Kuhifadhi Madini Adimu ya Yoderite

    Imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi na kulinda madini adimu aina ya Yoderite yanayopatikana katika eneo la Mlima wa Mautia, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, ili kuhakikisha urithi huo wa kipekee wa kijiolojia unabaki salama kwa manufaa ya vizazi vya sasa na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Makabila makubwa yanazidi kudominate nafasi kubwa za uongozi, Turejee ushauri wa Nyerere lasivyo kuna hatari vizazi vijavyo

    Nyerere aliwahi kutuhusia sana kutojaza makabila makubwa nafasi kubwa, Enzi hizo kuna makabila aliyaweka wazi lakini hali imebadilika, kwa sasa yamo baadhi aliyowahi kuyataja na kuna mengine yameongezeka. Kipindi chake alishakuta makabila flani yameshapata elimu lakini ali fight sana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua. MADHARA 1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Tunzeni hati za ardhi mlizopokea ziwe msaada kwa vizazi vijavyo

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati hizo ili ziendelee kuwa msaada kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa zoezi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo tunapaswa kuithamini na kuitunza kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo

    THE STORY OF CHANGE Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka ni ile yenye macho ya kuona kizazi cha tatu na cha nne kutoka hivi sasa

    Ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia pamoja na kiutamduni hatuna budi kuhakikisha baadhi ya mabadiliko katika mfumo mzima wa ajira kuanzia ngazi ya chini, mpaka ngazi juu yanafanyika, ili kufanya malengo ya taifa ya maendeleo ya muda mfupi, kati na muda...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanawezaje kuwa na utambulisho huu miaka ishirini ijayo?

    Viongozi wa Mataifa makubwa kama USA ni generational thinkers! Siyo ajabu, akina Biden na Trump wanaiplan Marekani ya miaka mia moja mbele, miaka mingi baada ya wao kuondoka madarakani na hata duniani! Sisi kama Taifa, viongozi na wananchi kwa ujumla, tuna yapi tunayoyaandaa kwa sasa kwa ajili...
  10. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya bora kwa Watanzania na vizazi vijavyo

    Napendekeza yafuatayo katika sekta ya afya ili kuleta manufaa kwa Watanzania wote miaka ijayo. 1. Kuhakikisha vituo vyote vya afya vinakuwa na watoa huduma toshelevu kwa ngazi zote ili wahitaji wawe wanapata huduma ndani ya wakati. 2. Kujengwa kwa vituo vya afya vinavyokidhi mahitaji ya jamii...
  11. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania SoC04 "Miti Yetu, Maisha Yetu: Sheria Mpya ya Upandaji Miti Kuleta Matumaini ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Kustawisha Vizazi Vijavyo"

    Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  13. Josephat Masanja Jerry

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chozi la mkulima na mfugaji ni laana kwa vizazi vijavyo

    Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Inakadiliwa kuwa ifikapo mwaka 2050, Tanzania itakuwa nchi ya tatu kwa wingi wa watu Afrika...
  14. Heavenlight Boman

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora ndio umebeba mustakabali wa maisha

    Utangulizi TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayoendelea barani Afrika, huku ikipambana kujikwamua kiuchumi kwa kupigana na umasikini, ujinga, maradhi pamoja na rushwa. Licha ya kuwepo mapambano hayo lakini bado suala la utawala bora limekuwa changamoto kubwa bila kujua ndiyo limebeba msingi na...
Back
Top Bottom