viza

  1. Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
  2. Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

    Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
  3. Nilivyotapika katikati ya uzinzi baada ya kukutana na harufu ya yai viza

    Nilidhani wanawake wana harufu ya kisamaki tu,nilichokutana nacho mwaka huu,naapa kuacha uzinzi. Harufu ya yai viza baada ya kuvua nguo ya ndani.kumenifanya niokoke na kuchukia wanawake wanene Nilijikuta natapika katikati ya tukio.nikasingizia nina malaria. Cha ajabu ni mke wa mtu.hakika...
  4. B

    PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  5. Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
  6. Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  7. Babu Sikare(Albino Fulani)Mtanzania wa kwanza kumkunja shati afisa balozi wa USA aliyetaka kumnyima Viza

    Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki. Vabu Sikare alizaliwa albino na wala hakuogopa kujitambulisha kuwa ni albino,tofauti na yule msemaji wa klabu...
  8. Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

    Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza. Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa. Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
  9. Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  10. Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  11. Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  12. Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  13. Viza ya Bulgaria inapatikana Tanzania? Wana Ubalozi hapa?

    Wakuu Chama kimeniteua kwenda kusomea mishe za mambo ya Kura naenda kusomea Sofia University vast. Klimenti Ohridiski, Bulgaria Sasa Hawa jamaa Wana ubalozi hapa nchini? Kozi inaanza Agosti. Msaada tafadhali
  14. Marekani yafuta Viza ya Spika wa Bunge la Uganda

    Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ. Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
  15. Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

    Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao Afisa wa...
  16. Uingereza yakosolewa kwa kuitenga Afrika katika Sheria mpya za Viza ya kazi nchini humo

    Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki. Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30...
  17. Zijue nchi ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaweza kuingia bila viza

    Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama. Soma pia: Visa free countries for...
  18. Nchi zipi ambazo kwa passport ya Tanzania unaingia bila viza?

    Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi? Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
  19. Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya Maofisa wa Somalia

    Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu. Katika taarifa...
  20. K

    Msaada viza ya Dubai (UAE)

    Wakuu habarini? Kwa waliowahi kwenda Dubai from Tanzania utaratibu wa visa uko vipi? embassy wamesema hawatoi ila diplomatic visa pekee, sasa naweza kukata mwenyewe online? Au lazima nitumie travel agencies? waiting time? processing time? Naombeni mnijuze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…