viwanda

  1. JamiiForums Tanzania Nadharia ya viwanda vya sinema za ngono

    Bwana mmoja aliwahi kuniambia kuwa ‘Wale watu weupe , walileta viwanda vya sinema za ngono ili jamii ijifunze dhana ya mapenzi kwa upana’ , Sikutaka kukubaliana naye , niki dhani kuwa ‘walileta hivyo viwanda ili kuiharibu jamii kisaikolojia katika muktadha wa mapenzi ili wapige pesa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

    Volkswagen inafikiria iwapo itafunga viwanda nchini Ujerumani kwa mara ya kwanza katika historia yake ya miaka 87 huku ikielekea kuongeza upunguzaji wa gharama huku kukiwa na ushindani unaoongezeka kutoka kwa watengenezaji magari ya umeme nchini China. –London (CNN) Mapema wiki hii CNN...
  3. JamiiForums Tanzania Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania

    Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania. Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela. Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2 vya kuunganisha magari Nchini Katika kiwanda cha GF Track kimetoa ajira 300 na kiwanda cha Saturn...
  4. JamiiForums Tanzania Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

    Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira. Mfano...
  5. B

    JamiiForums Tanzania MATI Super Brands yadhamini maonesho ya Tanzanite Manyara Trade fair 2024

    Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30...
  6. JamiiForums Tanzania Dangote ana impact kubwa katika ukwekezaji wa viwanda na miradi mikubwa-tunamhitaji zaidi

    Mwanaviwanda mwenye uthubutu mkubwa ktk uwekezaji mkubwa ktk viwanda Afrika na Tanzania tukiwa wafaidika. ✅Amejenga Afrika Kiwanda kikubwa cha Cement duniani..Akiwekeza mabilioni ya dola.. ✅Amejenga kiwanda cha mbolea kikubwa kikiwa namba 2 duniani ✅Amejenga mitambo ya kusafisha mafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Kweli bongo kuna viwanda vya uongo!

    Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri. Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli. Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya nondo Mwanza, Pwani na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?.

    Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo. NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
  9. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  11. JamiiForums Tanzania Lobito Atrantic Railways, hawalali, wanajiandaa kusafirisha madini ya Zambia na Congo.

    Lobito wanajidaa kusafirusha madini ya Zambia na Congo hadi Angola.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji

    AWESO ATEMBELEA VIWANDA VYA KUZALISHA MITA ZA MAJI ZA MALIPO KABLA CHINA, ASEMA WAKATI WA MABADILIKO NI SASA Shangai, China Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  15. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya viwanda miaka 15 ijayo

    Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na mkakati thabiti zinahitajika. Mkakati huu unapaswa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Kuimarisha...
  16. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo Katika Mapinduzi ya Nne ya Viwanda (Akili Bandia)

    Historia ya Mapinduzi ya Viwanda Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta, teknolojia hizo zimekuwa na tija katika uzalishaji na pia zimeambatana na changamoto mbalimbali...
  17. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Msingi wa mapinduzi ya teknologia na sayansi kwa maendeleo ya viwanda nchini

    Nchi yetu Tanzania na bara lote la Afrika linapaswa kuanza na mambo yafuatayo ili kuleta mapinduzi ya viwanda. Kwanza, ni muhimu kuunda sera zitakazo ongeza uwezo wa watu wabunifu kujiamini katika kazi zao. Pili, ni kubadili fikra za jamii juu ya uwezo wa wazalendo wenye vipaji mbalimbali vya...
  18. JamiiForums Tanzania Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu yetu na Tanzania ijayo ya viwanda: Nini kifanyike?

    Utangulizi Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila na elimu bora ambayo ndiyo chimbuko la teknolojia mbalimbali zitumikazo viwandani. Teknolojia bora ndiyo msingi wa kuifanya nchi ipige hatua kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla. Kadri unavyokua na viwanda vingi ndivyo unavyoweza kutatua...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni mafunzo kuhusu viwanda vidogo

    Tupeane and mbinu za kuanzisha viwanda vidogodogo, kama vya pipi, biscuit, sabuni za kioande, ungrateful, maji, kiwanda cha tooth sticks, plastic materials-viti, mesa.etc, fish filet processing,beef processing, ice creams, juice, rice and flour processing, mafuta ya kupaka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…