viwanda

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Yaahidi kuwashughulikia walioua viwanda, kuondoa kodi kwenye dawa

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya mafuta ya mawese kigoma-urgent

    Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil. Asante
  4. Bibianna

    JamiiForums Tanzania RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viwanda vipya 718 vimejengwa Geita

    Rais Samia Suluhu Hassan, amejenga viwanda vipya zaidi ya 700 ikiwemo GGR kinachosafisha kilogram 440 za dhahabu kwa siku ajira mpya zaidi ya 14,000 zimezalishwa ndani ya miaka 4 ya uongozi wake Katika kipindi hicho, viwanda mkaoni Geita vimeongezeka kutoka 824 mwaka 2021 hadi viwanda 1,542...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

    Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi Kuweka minimum wages Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

    Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza Steel kwa ajili ya bodi ya...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Ongezeko la Viwanda Mkuranga ni mipango ya Serikali au nguvu ya fedha inachukua nafasi yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani. Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57 vikiwemo vikubwa sita vya kati 13 na vidogo 38. Kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya Viwanda...
  9. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Tupate Rais atakae endeleza ile sera ya Magu ya Tanzania ya viwanda angalu ilikuwa na mwangaza

    Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza viwanda vipya 30,000

    == Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000. Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) . Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu mahali viwanda 13 vilipo vya kutengeneza magari atuambie,ninaona tunatapeliwa

    Bango hili hapo! Ninaona tunatapelewa na kundi la watu wachache
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k

    Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika. 1.South Africa 2.Egypt 3.Nigeria 4.Morocco 5.Kenya 6.Algeria 7.Ethiopia 8.Ghana 9.Tunisia 10.Zambia. My Take Kama Nchi tuna kazi ya kufanya kweli kweli. Pia soma hapa Pre GE2025 - Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya...
  13. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Eneo la Viwanda linauzwa

    Plot No. 729 & 730, Block 'A' – CBD Plot 729: 8,912 sqm Plot 730: 7,056 sqm Jumla: 15,968 sqm Eneo lipo ndani ya zone ya viwanda – Kibaha Bei: TZS 1.2 Billion (maongezi yapo) Call/WhatsApp: +255 758 844 717
  14. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  15. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wazawa hawaanzishi viwanda vikubwa vya uzalishaji kama Wahindi, Waarabu na Wazungu?

    Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Jaffo anazungumza Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mei 15, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya viwanda na biashara

    Habari wana Jamvi Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 Lakini kuna jambo limenishangaza sana Kwanza Mh alikuwa anachapia karibu Hotuba nzima yaani...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Wenye uelewa na hili swala Nina mbuzi wangu 80
Back
Top Bottom