viwanda

  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Makaa ya mawe yalivyoficha siri ya maendeleo ya viwanda

    Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000 Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 huku viwanda vikinunua kwa sh 20

    Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda Ukiajia wa biashara Kuongezeka mapato serikali Mfano...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Historia na Changamoto za Maendeleo ya Viwanda (vilivyobinafsishwa) Tanzania

    Maendeleo ya viwanda yamekuwa sehemu muhimu ya mikakati ya maendeleo ya Tanzania baada ya uhuru. Hasa, hatua ambazo maendeleo ya viwanda yamepitia ni pamoja na maendeleo ya viwanda katika uchumi mchanganyiko(Mixed Economy 1961-66); mwelekeo wa uongozi wa serikali katika maendeleo ya viwanda kwa...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya viwanda: China yafanikiwa kutengeneza viwanda Cha giza Vinachojiendesha chenyewe na bila taa

    Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda Mapinduzi Yajayo ya Viwanda Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa anajifanya serikali yake ya viwanda lakini wajenga viwanda akawafukuza na kuwafilisi. Samia kajenga viwanda 30k ila takwimu zinagoma

    Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda. Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS. Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
  8. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazo: Badala ya kuuza nje umeme wa ziada, kwanini tusiwape bure wenye viwanda?

    Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem. Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones...
  13. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  14. Congo

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda inakuja

    Miaka ya hivi karibuni inashuhudia matajiri wakiongezeka. Wanatunza fedha benki. Ndio maana BONDS zikitangazwa fedha zinatolewa zaidi ya bond. Ina maana watamzania wana fedha kwenye mabenki. Nawashauri watanzania weusi. Wasioogope kuwekeza kwenye viwanda. Matajiri wakubwa ni wenye viwanda...
  15. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania CTI Yatoa Wito wa Hatua za Haraka za Sera na Utekelezaji ili Kulinda Maisha na Mapato katika Sekta ya Viwanda

    Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Makonda Ahimiza Uwekezaji wa Viwanda Arusha, Kuongeza Fursa za Ajira kwa Vijana

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
  19. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

    Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics. Jirani ni msikiti, na kiwanda cha tissue 5,865 sqm Urefu 141.01m Upana 45.62 Bei 18.75M Dalali 10%(kwa dalali akileta mteja) Umbali...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha, Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe

    Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini. Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
Back
Top Bottom