viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
  2. SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
  3. Hatimaye Mtu aliyepooza ataweza kutumia smartphones au viungo vya roboti kwa akili zao

    Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika. Leo...
  4. Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
  5. Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
  6. Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

    Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene...
  7. Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…