Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,054
- 2,426
Habari za mida wakuu,
Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints.
Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30 unachukua Mawe madogo madogo kama kokoto ivi unaweka kwenye into au sulfate then unachanganya Na mchanga kidogo kila siku unakua unasimama au kutembea Kwa izo mawe ukiwa peku.
Sharing is caring
All the best
Mimi nitaanza kesho