viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Maduka makubwa ya viungo Mwanza

    Wadau kwema nijuzeni Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali kupitia namba ya whattssapp 0624726872 Natanguliza shukurani zangu za dhati ahsanteni sana.
  2. ELI COHEN

    Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  3. stakehigh

    NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  4. stakehigh

    Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI, JAIPUR warejesha furaha kwa wahitaji 507 kwa kuwapatia viungo bandia bure

    Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini. Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
  6. Evelyn Salt

    Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

    Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo. Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache. Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
  7. ELI COHEN

    Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  8. ELI COHEN

    Huu ndio msimu wa i phone 17 kuzinduliwa

    Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁 Mabaharia washanielewa. Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
  9. M

    Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  10. DuaZaMama

    Mhudumu wa mochwri matatani kwa tuhuma za kuuza viungo vya binadamu

    Haya sasa wakuu hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu. Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason...
  11. The introvert

    Viungo vya kupika mboga ye mvuto na ladha nzuri

    Wapishi na wapenda mapishi, naomba msaada wenu! Ni viungo gani mbalimbali vinavyotumika katika kupika mboga ili kuzifanya ziwe na ladha nzuri? Maana ni mwezi sasa tangu nitoke home naona mapishi nayopika hasa ya mboga hayana radha kama ya nyumbani. Pia ningependa kujua bei za viungo hivyo kwa...
  12. U

    Israel yasema wanajeshi 16,000 wamelazwa tokea vita kuanza oktoba 7, 72% wamekatwa viungo

    Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita vilivyotangulia kabla ya oktoba 7,2023 Ifikapo 2030 inatarajiwa askari 100,000 watakuwa wakipatiwa matibabu...
  13. KENZY

    Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  14. The redemeer

    Vilaza ukuza viungo Wenye akili ukuza akili

    Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf Vilaza wanakuza mwili,, Wenye IQ wanakuza Akili ONLY FACTS
  15. Yoda

    Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

    Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
  16. Waufukweni

    Yanga waongeza Kocha wa Viungo kwenye benchi, Behlulović ni chaguo la Kocha Ramovic

    Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni! Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic Huyu ni chaguo la Saed...
  17. Kalaga Baho Nongwa

    Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

    Wakuu si kwema kabisa Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Bukoba: Mtoto mchanga akutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa. Bibi wa kambo akihusishwa

    Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu. Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji! =============== Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake...
  19. B

    Aisee mpira umebadilika kweli leo hii Rodri anachukua Ballon d'or huku kuna viungo punda zaidi yake hawakuwahi kuikaribia tuzo hiyo!

    Vijana wa 2000 hakika wanakosa burudani sana katika mpira katika zama hizi ambapo kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye mpira. Ebu twende nyuma kidogo viungo waliowahi kucheza mpira mkubwa hapa duniani lakini hawakuweza kuchukua hiyo tuzo ya Ballon d or. Pale France kulikuwa na wachezaji wa...
  20. figganigga

    Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
Back
Top Bottom